Dishunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 276
- 58
Sijui kama kuna mwingine ashapatwa na hili janga? Kuna app niliinstall from unknown ni mara nyingi nafanya hivyo, sasa simu imekuwa ina pop up full screen ad ya adchoice kila mara, nime-wipe simu mara mbili wapi tatizo halijaisha, Nimetumia ad detec app zote playstore zimeshindwa kuigundua hiyo app kuna nyingine zinadai kuwa hiyo app itakuwa inatumia new ad framework, Simu yang sio rooted bado, msaada tafadhali