Habar wadau
Naomba kujuzwa;
Ili kuboresha uhai wa betri ya Laptop kutoka kampun yeyote ile.
E.g. Hp, Dell, Toshiba, Lenovo n.k
Yafaa kuchaji laptop kwa masaa mangap?
Habar wadau
Naomba kujuzwa;
Ili kuboresha uhai wa betri ya Laptop kutoka kampun yeyote ile.
E.g. Hp, Dell, Toshiba, Lenovo n.k
Yafaa kuchaji laptop kwa masaa mangap?
Natumia Sony Vaio pro 13'' ina utility software ambayo kuna option na ku turn ON/OFF battery care na imegawanywa mara 2;
80% na 50%.
80% : Natakiwa niichague hii kama nategemea kutumia laptop kwa battery power, na pindi ninapokuwa naichaji ikifikia hizo asilimia (80%) haitaendelea kuchaji lengo ni kupunguza charging cycles ambzo hufikiwa pindi battery inapojaa full kwa hyo njia hii hupunguza uharibifu/uchokaji wa battery kwa asilimia kadhaa tofauti na anayechaji full.
50% : Natakiwa nichague hii kama natumia AC main kwa muda mrefu, hapa battery itachajiwa mpaka 50% na haitaendelea kuchaji tena, lengo ni lile lile kuongeza life span ya battery.
Kwa laptop nyingine unaweza fanya manually ikifika 80% una disconnect AC main ili kupunguza hizo charging cycles.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.