Graphics designer anahitajika

Graphics designer anahitajika

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
138
Tunahitaji graphics designer ategeneze icon chache kwaajili ya project yetu.

graphics-designer.JPG

Weka bei na sample za icon ulizowahi kutegeneza
 
icon za apps au sijakupata apo

Zitakuwa displayed kwenye app kama hiyo picha inavyoonesha.

Kila icon iwe na sura kulingana na text itakayowekwa chini yake e.g. Music basi icon iwe imebeba/kuendana na sura ya music.

Unatengeza icon tuu bila text. Orodha ya text tutakupa kabla hujaanza kazi.
 
ntakucheki, nimewahi fanya kazi hiyo, nipm no yako
 
-Ni icon za maudhui gani?
-zinahitaji design language ipi? Ie material, ios9, metro
 
Zitatumika kwenye mobile phone app.

Kuhusu design language,nk nadhani ni task yako wewe designer.

Jukwaa la matangazo wamejaa kibao watu wanaofanya hizo kazi, kama unataka mtu serious nenda kule, ila kama unataka kutumia watu wa jukwaa hili its better ukawa muwazi watu watafanya wataupload hizo icon pengine bila hata kukuchaji chochote.

Ungesema tu maybe unahitaji icon 10, za setting, video, audio, picture, contact us......nk watu watakusaidia
 
Sawa nitaweka kwa matangazo

Shukrani
 
Back
Top Bottom