Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wadau. Naomba kueleweshwa namna ya kufuta (delete) text msgs nilizoandika whatsapp kwa kutumia smartphone yangu. Nimeitafuta sana hiyo option ya delete bila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Laptop yangu inanisumbua kidogo na nimeshindwa kupata suluhisho mpaka sasa naombeni msaada wenu Wataalamu wa Technology, Gadgets & Science (kama nitakvyoeleza hapo chini na kauambatanisha picha)...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Naomba msaada wa mawazo kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo langu ni kwamba nilifanya factory reset ya sim yangu ila cha kushangaza memory card imejiwekea password Naomba ushauri kwa anayejua
0 Reactions
4 Replies
991 Views
Natanguliza Heshima kwenu. Matumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Naomba mnisaidie sites ntakazoweza ku-download series direct sio torrent wakuu kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wandugu. Jamani nimeanzisha stationery na studio ya picha. sasa naombeni msaada zaidi kuhusu mashine nzuri ya kusafishia picha za ukubwa hadi A4 pamoja na passport. Je ni aina gani nzuri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wananzengo nimebadili simu from samsung android to iphone ios, sasa phonebook niliisave katika email, sasa nawezaje kuingiza ile email ili kupata yale majina?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu wana JF naombeni msaada wenu, laptop yangu aina ya hp Elitebook 2530p haionyeshi kitu chochote kwenye screen baada ya kuwaka. Inaanza kuwaka vizuri inaleta logo ya window 8 halafu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hodi hodi jamvini hakika mko powa nipo hapa kuwasilisha shida yangu hii anayejua tips au maarifa ya kuroot huwaei y330 tafathari anisaidie.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari, Naomba kujuzwa kwa kiwanda cha nafaka chenye mota 2, moja 40hp na nyingine 50hp nahitaji kununua generator lenye ukubwa wa kva ngapi? Kindly recommend the best seller in Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kama title inavojieleza hapo, nikijaribu kwenda kwenye media files kutokea jf app nakuta photo tu, video na audio files sizioni
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni nokia lumia 620 memory card free space 3gb nzima ila phone memory imejaa vitu ambavyo sivijui ni nini vimeandikwa others kwenye memory settings. Msaada wadau
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Baada ya kuadimika kwa bidhaa hii maarufu,sasa ipo sokoni.kama mjuavyo sasa ukiwa na rcv hii utaweza kutazama chanel mbalimbali nzuri zilizofungwa kwa mfumo wa power vu. Pm haraka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Thunderstruck! Where did the Australian rock band AC/DC get their name from? Why, Alternating Current and Direct Current, of course! Both AC and DC describe types of current flow in a circuit...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba nianze kwa kuwasalimu. Kalaptop kangu HP window 7, hakakubali kupokea wireless internet ya ofisi hadi nichomeke cable. Hata WiFi hotspot sasa hivi haisomi ktk hii laptop. Tatizo...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Habari wadau wa tech forum naomba maelezo ya namna ya kufunga change over switch via contactor ya three phase nina vyazo viwili tanesco na genset na viunga vipi ktk contact ili iwe ina jiturn on...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Apple iPhone 6s Plus...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana jf naomba msaada wenu tafadhari Niko na simu yangu nokia lumia 800 lakini kila nikitaka kujiunga vifurushi inaniandikia "Session Terminated" msaada jinsi ya kuondoa tatizo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo kidogo download speed imeongezeka maana mara nyingi kwa kudownload kwa simu hii speed huwa siipati, lakini hii ni unlimited ya janja janja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani initially naomba mnisaidie jinsi ya ku flash tablet kwa kutumia computer
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom