naombeni Msaada tafadhali, ni TECNO H6
Ahsante
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata
Mkuu Mimi Majuzi Nimetuma Kwa Basi Iphone Yangu 6+ Kwenda Dar Kuna Mteja Alikua Anaitaka, Sasa Jamaa Niliempa Aisafilishe Kumbe Kashukia Kimara, Toka Juzi Mpka Leo Apatikan, Jana Nimeingia Icloud Nimekuta Ipo Wazi Na Inaonyesha Ipo Tabata Segerea Mimi Nipo Dom Nilitaka Niiloki Ila Nimesita Coz Nahisi Nikiiloki Naweza Nisiipate Nimepanga Kutoka Hapa Dom Kwenda Kutrack Tuu Na Kumbama Nayo Huyo Jamaa. Hivi Mkuu Jama Anaweza Kuitoa Iclouds?? Navyojua Mimi Kuitoa Ni Kma Aiwezekan.
kwa iphone shaka ondoa kabsaa we tulia tu hapo nenda dar ukaifatilie ukiwa na juis pemben laZma uipate iphone haina mjanja mzee
Ushamkamata mwizi wako.. Hata usiwaze sana... ... Icloud hatoki hata kwa uchawi......
Ili aweze kuipata inatakiwa ile icon ya GPS iwe imewashwa vinginevyo hutaweza kuipata kwa njia ya kutrack.Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata
Google huwa wanaomba ruhusa siku ya kwanza ukiactivate simu/kureset labda uwe uliwakataliaIli aweze kuipata inatakiwa ile icon ya GPS iwe imewashwa vinginevyo hutaweza kuipata kwa njia ya kutrack.
Wewe tulia tu hata mwakani ukiamua kuitafuta utaipata tu labda aivunje vunje!Mkuu Mimi Majuzi Nimetuma Kwa Basi Iphone Yangu 6+ Kwenda Dar Kuna Mteja Alikua Anaitaka, Sasa Jamaa Niliempa Aisafilishe Kumbe Kashukia Kimara, Toka Juzi Mpka Leo Apatikan, Jana Nimeingia Icloud Nimekuta Ipo Wazi Na Inaonyesha Ipo Tabata Segerea Mimi Nipo Dom Nilitaka Niiloki Ila Nimesita Coz Nahisi Nikiiloki Naweza Nisiipate Nimepanga Kutoka Hapa Dom Kwenda Kutrack Tuu Na Kumbama Nayo Huyo Jamaa. Hivi Mkuu Jama Anaweza Kuitoa Iclouds?? Navyojua Mimi Kuitoa Ni Kma Aiwezekan.
Wewe tulia tu hata mwakani ukiamua kuitafuta utaipata tu labda aivunje vunje!
Mkuu Mimi Majuzi Nimetuma Kwa Basi Iphone Yangu 6+ Kwenda Dar Kuna Mteja Alikua Anaitaka, Sasa Jamaa Niliempa Aisafilishe Kumbe Kashukia Kimara, Toka Juzi Mpka Leo Apatikan, Jana Nimeingia Icloud Nimekuta Ipo Wazi Na Inaonyesha Ipo Tabata Segerea Mimi Nipo Dom Nilitaka Niiloki Ila Nimesita Coz Nahisi Nikiiloki Naweza Nisiipate Nimepanga Kutoka Hapa Dom Kwenda Kutrack Tuu Na Kumbama Nayo Huyo Jamaa. Hivi Mkuu Jama Anaweza Kuitoa Iclouds?? Navyojua Mimi Kuitoa Ni Kma Aiwezekan.
Mkuu Nimeipata Aisee!!
= Aisafirishe
Dadavua kidogo.....umeipataje? Mwizi kairudisha au ulitoka Dom kwenda Dar leo?
Mkuu Nimeipata Aisee!!
Airudishe Wapi Ndugu, Nimemfata Leo Dar, Nikiwa Pamoja Na Laptop, Icloud Ilikua Inanipa Raman Mahali Ilipo, Nilipofika Hapo, Kwenye Pc Kulikua Na Option Ya Kuifanya Iitee "PLAY SOUND" , Inshort Hapo Ndipo Nilipotumia Na Simu Ikaanza Kuita. Niliemkuta Nayo Ndie Huyo Huyo Niliempa Aisafirishe.
Ulipanda ndege ya saa ngapi?
Utamu wa iPhone ni hapo tuu....