Wadau naombeni msaada kwa wale waatalamu wa simu Nina simu yangu aina ya techno j5 nashanga nikirushiwa video Watsap au nikidownload nikitaka kuplay inanambia can't play this video naombeni msaada...
wadau salamu kwenu,
Samahani ninaomba msaada wa tally accounting software ERP 9 au hata below hiyo. AU kama kuna mwenye kujua link ambayo nitaipakua.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.
Amani kwenu wanajamii.Nimerudi nyumbani nikakuta simu ya mdogo wangu simu yake imeandika weka puk katika simu,sijui amegusa wapi.Naomba mwenye kujua anifahamishe tafadhali maana pia imempa...
kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!!
nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi...
Naomben msaada kwa yeyote mwenye kujua ni format gan inayoweza kuonyesha video clear kwenye radio ya gari,maana system yangu in support mp4 ya 320×160 pekee,na format zingine ni wma,mov,avi,mpg
Salamu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu gharama pamoja na jinsi ya kupata gari lenye uwezo kama gari linalotembea na screen kubwa kwenye mikutano ya kampen za magufuli
Habari wakuu, naomba kupata app nzuri ya android ya kufuta hay kuondoa merge contacts tafadhali, na contact zaidi ya 6000 sasa nimebilisha simu Ike kuweka account ya Google Tu contact zangu...
Salaam wakuu..
Nahitaji msaada kiundani kujua hiyo kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, je inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management ake inakua vipi...
Pole na Majukumu
najua kuna walio na facebook groups na page kwa ajili ya burudani au hawayatumii kibiasahara.
sisi tunanunua hayo magroup kama ifuatvyo.
Idadi ya Member Group Page...
Habari zenu wakuu naomba uliza je kuna uwezo wa ku access internet labla ya kazini nikiwa nyumbani.
Namaanisha nkafanya configuration katika computer ya ofisini na kuja na ya nyumban fanyia...
Habari zenu wakuu na wadau wa hili jukwaa na wachangiaji wote.
Hapo mwanzo, nlikuwa nanunua 'Pro' au 'Full Version' apps toka Play Store bila shida yeyote. Ila sasa hivi karibuni, takribani kama...
Habarini wataalam.
Nauliza ni maduka gani kwa arusha naweza pata screen ya Nokia Lumia 720. Kwa maduka ya arusha sababu simu yangu ilianguka ikapasuka screen yake hivyo nataka badilisha.
Naomba...
Wadau naombeni msaada katika simu sumsung note 2 mobile hotspot hafanyi kazi baada ya kuiflash.
Imekuwa ikigoma kuconnect katika pc.... imekuwa ikiniletea 'validatition error' nfanyaje hapo...
Habari wakuu...!!
Nime-type kazi moja hapa sasa kwenye maelezo niliyoyaandika nimeandika na website fulani, baada ya kuiandika imekaa kama link hivi (imekuwa ya blue na underlined kwa mstari wa...
Wakuu kingamuzi cha Azam Tv kinanisumbua haionyeshi chanel zozote ni matangazo yao tu.
Kila nikijaribu wananiandikia smart card never paired.
Nimewapigia hawapatikani.
Msaada jamani.
Kijana wa kazi za kulisha mifugo kaniibia simu ya wife s5, pesa taslim na mavitu kibao na kakimbilia chanika masikia kuna mtu kamchikua
Simu ya wife hatujui imei no ila simu ya huyu kijana ipo...
Wana jamii forum wenzangu nataka kununua gari ila iwe na cc ndogo na pia dash board yake iwe na muonekano poa bajeti yangu ni kama 9M naombeni mnishauri naweza pata gari gani.asanteni sana
Mambo vipi wadau, hivi hii unlimited internet ya airtel ipo vizuri na ni unlimited kweli ama ndio unatumia kwa muda kisha inakua slow kama jamaa wale wengine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.