Wadau Nime review Bei za TTCL nimegundua wana prices ambazo ni nafuu nauliza hivi Line zao zinaingia Kwenye simu zetu hizi za kawaida Android na iOS? Je Line zao zinakubali kwenye Universal...
Habari wakuu, nilinunua laptop then nika-upgrade memeory. Kwa vile pc yangu ina slot moja tu (zipo nyingine zina slot zaidi ya 1) ilibidi niitoe iliyokuwapo kwa hyo kwa anayehitaji SSD 128GB...
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kupata activation code za windows phone ili niweze kudownload app mbalimbali na kutumia huduma zingine kwenye simu ya HTC radar c110e.
Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India Early Last year ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba..
Mwezi January mwaka huu nikiwa najaribu kuiupdate...
Nimekua mpenzi wa muziki wa kibongo kitambo sana na kwa sasa naona angalau teknolojia yaanza kutusaidia.
Simu za mikononi sasa zatusaidia pata access ya nyimbo mbalimbali, mfano mzuri ni...
It actually becomes imperative that you do the right thing habitually in order to get the right results habitually. Dr. Woody Johnson
About 7 months ago, while I was coaching one of my Forex...
Wadau naomba msaada Pc yangu inajichanganya. Nimeshindwa kuelewa nini tatizo. Mfano unataka kufungua JF wakati inafungu hiyo web ya Jamiiforums kabla haijamaliza inafungua Website nyingine yeyote...
Nipo Nje kidogo ya mkoa wa Iringa napata tabu simu ya kununua iwe na specification gan ili kupata internet?
rafiki zangu wawili wamenunua cm m1 techno Y6 ambayo haina uwezo wa kudownloa pcha...
wakuu nilikuwa nauliza namna kuchagua aina ya starter kwa motor nimepekua pekua na kukuta motor ya kuanzia 1 up to 10Hp naweza ifungia direct online starter but zaidi ya hapo ni vyema nikafunga...
Kuna hawa jamaa nimekutana nao leo wanauza simu kwa bei reasonable sana. Nikasema nisije nikaingia kichwa, itakuwa pouwa sana kama nikiwashirikisha wadau wangu wa JF.
Jamaa wanadai kuwa wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.