Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau Ninawazo la kuanzisha web application itakayokua inahusika na uwajibikaji wa serikani ikijumuisha baadhi ya mambo yafuatayo:- 1. Uwezo wa viongozi walioteuliwa. Kuanzia rais mpaka...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
kuna uwezekano wowote wa kupata kitu kama hicho, au mpaka generator?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni app gani nzuri ya kudownload fscebook bifeo kwani naona zote ninazotumia sioo nzuri
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomben msaada kwa ajili ya ku unlock flash yangu. ni flash ya 32GB yenye shape ya ufunguo wa kofuli ila tatizo lake ni kwamba imefungwa na password but nikiweke kwenye PC inasoma na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani kwenu ndugu zangu! Nina simu yangu Samsung Galax y(young),GT S5360 imejilock baada ya kukosea ku draw pattern mara kadhaa. Kwa sasa inanitaka niingize e-mail yangu na password,lkn kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii, naomba kufaham hatua nzima ya ku root simu na faida na hasara zake (root-unrooted)
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau, habari zenu? Naomba msaada wa namna ya kuiwezesha simu yangu iweze ku-download youtube videos/ audios. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Ni Dell 15z - 5523, nimeupdate windows 10 mwezi uliopita na haikuwa na tatizo lolote. Ila juzi nimeiwasha kama kawaida lakini nashangaa inaanza kama inataka kuwaka halafu inatoa milio (tones)...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu poleni na majukumu ya kutuelimisha ambao tupo nyuma kwenye hizi Mambo. Kifupi ni kuwa kuna movie nilichukua kupitia hii Simu ya HTC One kwenye Laptop ya jamaa yangu sasa nataka...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, Anayejua nnapoweza kunua battery hiyo kwa Dar naomba anifahamishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
739 Views
SIMU YANGU ILIZIMA GHAFLA KAMA MWEZI SASA INATOA NOTIFICATION HII (Lumia 520 ERROR: Unable to find a bootable option. Press any key to shut down) na ni miaka miwili tangu nimeinunua. Je IKIPELEKWA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Nimejaribu Ku connect laptop kwenye printer lakinii haikuonyesha kitu Nilivyouliza ndo nikaambiwa kua kuna drivers zinazotakiwa kuwa installed ili printer I function...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shukrani wakuu, Ninayo toyota Passo kutoka japan na nilitaka kuitumia gari hasa yaani system zote katika gari zifanye kazi lakini kuna hii kitu naona inaninyima raha sana. Hii gari imekuja na...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Napenda kuuliza wapi naweza pata kioo cha HTC ONE XL hapa bongo kwa Tshh.? au fundi mzuri anaeweza ku fix tatizo la simu yangu imevunjika kioo kwa ndani lakini inafanya kazi vizuri tu msaada...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
wataalam msaada tafadhali,anayefahamu namna ya kufungua etv feed channel katika astra 4A @4.9E,natanguliza shukrani sana jumaatatu njema
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Simu yangu haizimi data, unazima ila baada ya sekunde kadhaa unakuta iko ON, hivo chaji, bundle ni shida! mwenye msaada jinsi ya kufanya naomba tafadhali.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana Tech,Gadgets. Nina simu ya Samsung Note 3 lakini tatizo kubwa kwenye simu hii ni network kwani kuna wakati mtandao unapotea kabisa na simu inakuwa haipatikani. Mara chache mtandao...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za leo wakuu. Ningependa kufahamu usalama wa data zinazohifadhiwa kwenye Google account kwa watumiaji wa simu za Android. Hawa watu hawawezi kuzitumia vibaya kweli mfano kwa hawa watu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau ninaomba msaada kuna hii app ambayo inakuja na simu inayotoa menu ya mtandao unaotuma(sim toolkit)mfano kama laini ni ya tigo zinakuja Huduma za tigo bahati mbaya kwenye simu yangu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Simu yangu ni huawei y 530, lakin tatizo linakuja ninapo taka kudowload apps mbali mbali inaniambia storage capacity ni ndogo wakat space ipo kubwa tuu..., nifafanyeje wakuu kuondoa hii kero?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom