Shida ya "Payment Method Denied" katika Google Play Store

Shida ya "Payment Method Denied" katika Google Play Store

King Shaat

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
863
Reaction score
835
Habari zenu wakuu na wadau wa hili jukwaa na wachangiaji wote.
Hapo mwanzo, nlikuwa nanunua 'Pro' au 'Full Version' apps toka Play Store bila shida yeyote. Ila sasa hivi karibuni, takribani kama miezi mitatu hivi, kila nnapotaka kununua apps nakutana na ujumbe huu "Payment Method have been Denied, check your account or consult your financial institution".
Na wakati bado naweza kununua vitu online kama vile kutoka eBay na account number hiyo hiyo ambayo Google Play Store wameikataa.
Sasa kwa wale wadau wenye habari zaidi au namna ya kutatua hili suala embu naombeni msaada wenu.
Natanguliza shukrani nyingi kwenu.
 
Niliipostigi mda, sasa juzi kati nkapata solution yake, so nadhani itakuwa poa ka nkishare nanyi wakuu.

Kabla ya yote, hii inawahusu zaidi wale wanaotumia Google Wallet kwenye malipo ya Pro/Ads-free Apps kutoka Google Play.

Kama hapo awali ushawahi kutana na tatizo hili, just tembelea tovuti ya Google au akaunti yako ya Google nenda kwenye Payments.

Then, remove the account method (credit card yako) uliokuwa unatumia hapo mwanzo (ambayo inasumbua). Ukishaiondoa, ongeza (add) a payment method, yaani rudia kuweka account yako unayoitumia kufanya manunuzi online.

Baada ya hapo, jaribu kununua some pro/paid app toka Google Play.
 
Izo app zinaghalimu tsh ngapi nami nataka lipia yaani maximum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom