Wanabod, nnasim yangu htc1 M8 inasumbua. Inaniandikia unfortunately measure has stopped, adobe air has stopped na pia avast mobile inanambia imeditect problem ambazo ndo izo izo zmezotajwa apo...
wadau naomba msaada jinsi ya kuondoa matangazo katika tablet kwan imekua kero sana kila napofanya ktu matangazo yanatokea,nimejaribu sana kutumia jelly bin,adaway zote zimegoma,
Habari zenu wakuu,
naombeni msaada maana nataka kuanzisha blog, kama kuna anayefahamu procedures za kuanzisha blog tafadhalini naomba help, ikibidi naomba na faida ya kuwa na blog.
Much...
Habari wakuu,mini ni IT wa kawaida sana lakini nilikuwa na ndoto ya kufanya shughuli hii.Kwa sasa nina mtaji wa kutosha nahitaji kufungua kampuni hii ambapo ningependa kumiliki server zangu...
Habar ya mudaa huu wakuu_Natumain humu jamvin ntapata ufumbuz wa heading apo juu, Nko mwanza kikaz ila soon nmejiunga na chuo kmoja cha IT hivyo nahtaj Laptops kama Nyenzo
Kwa bahat mbaya...
mnaotumia izo simu hapo juu ninaomba uzoefu, upande wa application performance and bettery! Kama wewe hutumii hizi simu na si mpenzi wa hizi unaweza kupita tuachie uzi wetu maana kuna anti tecno...
salaam wanajamvi...
Nahitaji msaada kiundani kuijua vizuri hii kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, pia hiyo kozi inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management...
Salama wakuu?
Tumi hii
Uptodown Software Downloads - Download, discover, share
Inakupa option mbili:
- kuinstall hiyo app
- kudownload direct kutoka kwenye browser bila kuinstall
Kazi kwako
Nimeipata jana usiku sasa leo nikataka ni update software... Maana ilikuwa version 2.3,, imemaliza kudownload.. Then nimei install ikareboot... Ikaanza ku load... Lakini imeganda kwenye...
Wadau baada ya kuchoshwa na huu mgao nimeona amgalau nitafute altenative..angalau niweze kuwasha ta tv, friji na kuweza kunyoosha nguo!!
Maswali yangu, Je ni betri ya ukubwa gani inahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.