Techno j5 haichezi video

Techno j5 haichezi video

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
866
Wadau naombeni msaada kwa wale waatalamu wa simu Nina simu yangu aina ya techno j5 nashanga nikirushiwa video Watsap au nikidownload nikitaka kuplay inanambia can't play this video naombeni msaada please napitwa na mengi media ninazotumia ni vlc,video mix pamoja na video player
 
tumia video player ya kawaida ya kwenye cm,,,hzo ambazo umezdownload v player huwa smx znaznguwa
 
Sina msahada wa ushauri ila tekino wazembe sana wanaiga majina ya makampuni mengine wanaweka kwenye brand zao...samsung anayo j1 single na double line.... Tekino kilasiku yy kufetua majina mapya useless
 
Si uitupe maana humu ndio mmeona p@ kuponea.
Tecno tatizo tu
 
Wadau naombeni msaada kwa wale waatalamu wa simu Nina simu yangu aina ya techno j5 nashanga nikirushiwa video Watsap au nikidownload nikitaka kuplay inanambia can't play this video naombeni msaada please napitwa na mengi media ninazotumia ni vlc,video mix pamoja na video player

download mx player
 
Malalamiko ya Tecno humu ndani yamezidi, sijui kwanini mods hawaunganishi hizi post zenu kwenye uzi mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom