Msaada: Namna ya kuprint website

Msaada: Namna ya kuprint website

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,116
Reaction score
5,370
Habari wakuu...!!

Nime-type kazi moja hapa sasa kwenye maelezo niliyoyaandika nimeandika na website fulani, baada ya kuiandika imekaa kama link hivi (imekuwa ya blue na underlined kwa mstari wa blue). Tatizo nilipoprint hiyo website(link) haitokei japo kwenye print preview naiona. naombeni msaada nayo itokee..

NB: Natumia MS Word 2007.
 
Habari wakuu...!!

nime-type kazi moja hapa sasa kwenye maelezo niliyoyaandika nimeandika na website fulani, baada ya kuiandika imekaa kama link hivi (imekuwa ya blue na underlined kwa mstari wa blue). Tatizo nilipoprint hiyo website(link) haitokei japo kwenye print preview naiona... naombeni msaada nayo itokee..

NB: natumia MS Word 2007.

Highlight hiyo website,right click then chagua remove hyperlink au kitu kinachofanana na hiki.
 
rangi blue = printer ya rangi, una wino wa rangi? kama una black and white haitatokea
 
You've to remove the hyperlink...that's the trick i guess kama alivyoandika bukoba boy

Pia njia nyingine mbadala ni kuweka cursor katika hyperlink and then abofye Ctrl +Shift+ F9
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom