app nzuri za kufuta duplicate contact's

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Habari wakuu, naomba kupata app nzuri ya android ya kufuta hay kuondoa merge contacts tafadhali, na contact zaidi ya 6000 sasa nimebilisha simu Ike kuweka account ya Google Tu contact zangu zimejirudia au kwenye jina Mika namba kujisave zaidi ya mara moja hadi kufikia 12,000 mpaka phonebook imekua nzito
 
Duh. Nimecheka sana ilikuaje? Wewe dalali nini.


Btw unatumia simu gani?
 
Back
Top Bottom