Wadau naombeni msaada katika simu sumsung note 2 mobile hotspot hafanyi kazi baada ya kuiflash.
Imekuwa ikigoma kuconnect katika pc.... imekuwa ikiniletea 'validatition error' nfanyaje hapo tafadhali?
Natanguliza shukran zangu kwenu!
Mwanzo ilikuwa fresh ila baada ya kuiflash akaweka vesion ya Verizon... ila nilivyoinunua haikuwa ya Verizon vesion
Unarudishaje sasa hapo mkuu??
Ila nimejaribu hii ya FoxFi imekubali...!
Bora kurudisha ya mwanzo coz fox sometime inadai kuipurchase
Yeah ninayo