Ntampataje mwizi wangu jamani

Ntampataje mwizi wangu jamani

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,707
Reaction score
14,403
Kijana wa kazi za kulisha mifugo kaniibia simu ya wife s5, pesa taslim na mavitu kibao na kakimbilia chanika masikia kuna mtu kamchikua

Simu ya wife hatujui imei no ila simu ya huyu kijana ipo on, hapokei wala kujibu sms, ma ukitumia no haijui anasikilizia sauti au anampa mtu mwingine anapoke

Swali, je naweza kufanyaje kisheria na kiteknolojia kumdaka huyu mshenzi kwa kupitia simu yake?

Share your experience please
 
we cha kufanya cheza nae kisaikolojia,,, weka mtego tafuta dem yeyote mkali hapo mtaani kwenu ampigie simu then amdanganye wakutane,,,wakikitana nawe unakutana nae
 
ingia google search neno DEVICE MANAGER click link ya kwanza ilioandikwa android device manager halafu login na acount ya mke wako ya s5 then uone kama utaweza kuitrack hio simu.
 
ingia google search neno DEVICE MANAGER click link ya kwanza ilioandikwa android device manager halafu login na acount ya mke wako ya s5 then uone kama utaweza kuitrack hio simu.
Mkuu inaonekana haipo online kabisa
Ni kama vile inaonekana bado hajawahi kuiwasha bado maana ina apps za kutrack kama mbili na kila nikichungulia inaonekana offline toka ilipozimwa

Hivi tcra wanaweza kunisaidiaje nikienda na rb
 
mkuu huyo nikijana wako kama ulikuwa unaishi naye vizuri nirahisi sana kumkamata kwa upande wa techologia ni rahisi sana sema KWA bongo ni ngumu labda uwe nawe unajiweza au unafahamika kidogo wazee wa mjini wanasema uwe kwenye system.

inamaana ukienda kwenye campun ya simu watakwambia uende polisi hapo ndio longolongo huanza .ila ukifanikiwa ni rahisi coz wenyewe wanaweza hata angalia huwa anawasiliana sana na nani!? na wakamtafuta huyo anayewasiliana naye sana then akapatikana au hata kumtegeshea bahati nasibu hewa kwamba kashinda kitu flani kama kuna promotion zinazoendelea na kampuni husika.


ila njia ya mwisho zaidi nikwakumtumia msichana binti.awe mjanja sana na wala asiwe na haraka kwanza anampigia au kumtumia SMS naakiuliza au akijibu KWA mshangao anajifanya kakosea namba.usiwe na pupa naye ukiona hana dalili ya kushoboka unampotezea ukakaa siku nzima then unamtumia hata buku 2 au 5 hivi harafu unamtumia SMS nakujifanya why unakosea kosea namba ya kwake?? usioneshe hali ya kumind au kutaka akurudishie pesa.na usimtumie Hera nyingi maana unaweza ndio ukamkosa kabisa akatoa pesa na line akavunja.

kama anatumia voda wewe jifanye VODA sio sana akupe namba nyingine kama TIGO hivi maana ukiwa na namba yake 1 tuu siku akiamua kuizima rasmi utakuwa ushampoteza.

KWA kuwa niwakiume na ukimwingia na gia ya kike lazima utamnasa tuu
 
Kama upo vizuri ni PM nikukamatie mwizi Ila andaa fedha,nipatie box 5 nafanya kazi yote ya kukuletea mwizi wako,mahitaji ni PM namba ya Huyo kibaka na namba aliyokuwa anatumia wifey wako kwenye s5.
 
Huyo jamaa kama ostadhi au mlokole hayo mambo ya kumtumia migoma (mademu) itakua issue alafu huyo jamaa anataka namba ya mkeo du!tumhare big problem, kwan hiyo s5 yenyewe au fake. Kama yenyewe basi we mtumie mpunga wa nguvu kwa kutumia tigo,voda,airtel money mara nyingi nyingi hadi apagawe hapo utaanza kumpagawisha mpaka namba yako ya simu ataanza kuithamini na kuipenda na kuiheshimu hapo sasa utaanza kuwa intelligence na kuplan mitego.Ila ukimnyaka kwanza unaanza na vitasa kisha police kisha utaanza kusema kaniibia kabati,friji sita,gari,bodaboda n.k hadi hela irudi.
 
Kijana wa kazi za kulisha mifugo kaniibia simu ya wife s5, pesa taslim na mavitu kibao na kakimbilia chanika masikia kuna mtu kamchikua

Simu ya wife hatujui imei no ila simu ya huyu kijana ipo on, hapokei wala kujibu sms, ma ukitumia no haijui anasikilizia sauti au anampa mtu mwingine anapoke

Kama mtu unamjua kabisa nini kimekuzuia kwenda polisi au kuna siri hutaki ifichuke? Coz polisi wanaweza mtafuta na wakadeal naye vizuri tu, kazi kama hizi kwa nini mjichukulie mikononi, ungekua humjui ni nani ningekwambia njia za kumtafuta mwenyewe, ila unamfahamu vizuri, peleka polisi hiyo namba wamuwekee mtego.
 
Huyu atakuwa anamuhisi vibaya kijana wa watu.Inaonesha hana uhakika na madai yake!
 
Huyo jamaa kama ostadhi au mlokole hayo mambo ya kumtumia migoma (mademu) itakua issue alafu huyo jamaa anataka namba ya mkeo du!tumhare big problem, kwan hiyo s5 yenyewe au fake. Kama yenyewe basi we mtumie mpunga wa nguvu kwa kutumia tigo,voda,airtel money mara nyingi nyingi hadi apagawe hapo utaanza kumpagawisha mpaka namba yako ya simu ataanza kuithamini na kuipenda na kuiheshimu hapo sasa utaanza kuwa intelligence na kuplan mitego.Ila ukimnyaka kwanza unaanza na vitasa kisha police kisha utaanza kusema kaniibia kabati,friji sita,gari,bodaboda n.k hadi hela irudi.

Ustadhi au mlokole mwizi?
 
Kama mtu unamjua kabisa nini kimekuzuia kwenda polisi au kuna siri hutaki ifichuke? Coz polisi wanaweza mtafuta na wakadeal naye vizuri tu, kazi kama hizi kwa nini mjichukulie mikononi, ungekua humjui ni nani ningekwambia njia za kumtafuta mwenyewe, ila unamfahamu vizuri, peleka polisi hiyo namba wamuwekee mtego.

Baada ya tukio tu siku kesho yake nikaenda kituoni polisi kuripoti na kupewa rb, nikajaribu kumdadis yule dada askari kwakweli hana anachojua alaikua anajiuma uma tu eti sio kazi yao
Ndio maana nipo hapa kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom