Ni format gan ya video nzuri kwa system ya gari?

Ni format gan ya video nzuri kwa system ya gari?

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
511
Reaction score
574
Naomben msaada kwa yeyote mwenye kujua ni format gan inayoweza kuonyesha video clear kwenye radio ya gari,maana system yangu in support mp4 ya 320×160 pekee,na format zingine ni wma,mov,avi,mpg
 
ukieka hizo mp4 za 320x160 haziwi clear?

una uhakika gani inahitaji video za aina hio? format hazina maana sana hapo cha muhimu unatakiwa kujua screen resolution yako ili upate video nzuri zenye resolution sawa
 
Back
Top Bottom