Bachelor of science in industrial engineering

Genisys

Senior Member
Oct 14, 2015
158
93
Salaam wakuu..

Nahitaji msaada kiundani kujua hiyo kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, je inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management ake inakua vipi?
Natanguliza shukraan za dhati.

Nawasilisha wakuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom