natafuta screen ya Nokia Lumia 720 arusha

natafuta screen ya Nokia Lumia 720 arusha

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habarini wataalam.
Nauliza ni maduka gani kwa arusha naweza pata screen ya Nokia Lumia 720. Kwa maduka ya arusha sababu simu yangu ilianguka ikapasuka screen yake hivyo nataka badilisha.
Naomba mwenye kujua duka kwa arusha ani direct shukrani.
 
Back
Top Bottom