Msaada: Kingamuzi cha Azam Tv hakionyeshi channels

Msaada: Kingamuzi cha Azam Tv hakionyeshi channels

AIRE MAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
221
Reaction score
65
Wakuu kingamuzi cha Azam Tv kinanisumbua haionyeshi chanel zozote ni matangazo yao tu.

Kila nikijaribu wananiandikia smart card never paired.

Nimewapigia hawapatikani.

Msaada jamani.
 
wakuu kingamuzi cha azam tv kinanisumbua haionyeshi chanel zozote ni matangazo yao tu.kila nikijaribu wananiandikia smart card never paired.nimewapigia hawapatikani.msaada jamani

safari ya mwisho kulipia ilikuwa ni lini?
 
Na kwakawaida malipo ya awali niwao.chakushangaza wanionyeshea chanel za matangazo tu.
 
omba msaada kwa wakala ulie karibu nae akufungulie
 
Back
Top Bottom