Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, nina Tecno P5 inajiwasha data pamoja na wifi naomba msaada wa kuliondoa hili tatizo. Na limeanza hivi punde kama lisa moja
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu naomba msaada, nimesahau administrator password ya router aina ya Linksys E 900 sasa nifanyaje ili niweze ku long in kwenye hii routet, niliweka mwenyewe ila nimeisahau mwenye kujua naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nisaidieni simu yangu ya aina ya Samsung Note 2, ni lugha ya kichina katika kuangalia salio au huduma ya Mpesa au tigo pesa au airtel money mwenye kujua ninaomba msaada jinsi ya kuondoa tatizo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu habari, Kichwa hapo juu kinajieleza, natumia Tecno p3 ninajaribu kudownload apps kwenye google inaleta hayo maneno "the application google pray store has stopped unexpectedly please try...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kwa mara nyingine tena mie mwenzenu sijaona kampuni ya uhakika ya kurecover data hapa bongo. Kama kuna mtu wowote anaifahamu tafadhari naomba anijuze
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Jambo wakuu. Naomba msaada wenu wakuu. Jana nikikuwa nafanya kazi kwenye kilaptop changu DELL lakini cha zamani kidogo. Ghafla kikakata moto. Hakukuwa na power interruption maana kuna vitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salama jamani? Naomba msaada wenu wa ushauri,nina tablet ya Hp slate 10 HD sasa nilikua natumia line ya voda na ilikua inazo settings za Apn 4 internet vzuri kabisa,sasa tatizo limekuja...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
wasalaaam! kwa mara ya tatu memory card ina haribika nikiwa naitumia kwenye simu, ipo hivii! ya kwanza: nilii weka password sijui ikawaje ikawa haionyeshi kwenye chombo chochote hata nikijaribu...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kununua domain ya blog yangu kwa kutumia local method yeyote inayowezekana maana sina account ya bank inayoweza kufanya online transaction nataka niwe na ........com...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, nina smartphone yangu aina ya fotola nimenunua kwenye promosheni, nimetumia siku tano tu imezima ghafla haijawaka tena mpaka leo nimepeleka kwa mafundi wanadai hawaoni tatizo. Msaada wadau
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simu yangu imeblock pattern Itel 1500 nifanyeje
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Naomben msaada jaman, nina tv aina ya hitach sijaitumia karibu miezi 10 sasa leo hii nomeiunganisha kwenye cable picha inakuja ila haitoi saut zaidi ya kufoka tu nimejaribu kuangalie setting lakin...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu. Hope mko salama kabisa. Nimekuwa nikitumiwa ujumbe wa tigo mara kwa mara kuhusu internet yao ya 4G wakinitaka niende kwenye customer care centres zao kwa ajili ya huduma hiyo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.opengarden.firechat FireChat ni application ya chat mithili ya WhatsApp au FB Messenger. Tofauti kubwa ya Firechat ni kwamba inakuruhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa namba Zang zimeftika ktk cm yang, je Naomba niulize Kuna sehem naweza ingia ktk cm nikazipata maana ktk sms Hamna, whysap,,, Hamna plz mweny kujua anisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa anayejua kuchip ps2 anisaidie maelekezo ile ps2 yangu iweze kutumia flash.. natanguliza shukrani..
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Hello members, natafuta hiyo mashine hapa Dar, yeyote mwenye idea where i can get it, plz let me know. Thanks
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Natumia laptop aina ya toshiba dynabook kadogodogo hivi,imeandikwa designed for microsoft window xp ni kama week sasa nikiiwasha inaandika tfght is compressed,press ctrl +alt +del to restart...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
guys anyeweza kuremove icloud na kuondoa ile find my phone na kuunlock cm itumie mitandao yote...pliz niasaidie...naombeni msaada wenu......nina iphone 5s na 6+ apa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau hivi hizi laini na vocha za hawa jamaa halotel zimeshaanza kutoka!
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom