Msaada: Namba zilizoftika katika simu

Msaada: Namba zilizoftika katika simu

strong peason

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
30
Reaction score
1
Wapendwa namba Zang zimeftika ktk cm yang, je Naomba niulize Kuna sehem naweza ingia ktk cm nikazipata maana ktk sms Hamna, whysap,,, Hamna plz mweny kujua anisaidie
 
Zimefutika ki vp hebu fafanua vzuri
 
Back
Top Bottom