KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
Habari zenu wakuu.
Hope mko salama kabisa. Nimekuwa nikitumiwa ujumbe wa tigo mara kwa mara kuhusu internet yao ya 4G wakinitaka niende kwenye customer care centres zao kwa ajili ya huduma hiyo ya 4G na messages zenyewe ni kama hizi hapa chini wakuu.
Nimeona niwaulize kwanza wadau hapa jamvini kama kuna mtu ameshawahi kwenda si vibaya kama angetupa mrejesho wakuu.
~Vipi service yao kwenye hiyo internet ya 4G ina mabadiliko yoyote hasa kwenye suala la speed baada ya kwenda na kabla ya kwenda au hajuna changes zozote ?.
~Na hiyo 1GB na 75 minutes za offer zinakuwa valid mpaka pale utakapomaliza kuzitumia au zinakuwa limited kwa masaa au siku kadhaa tu yakipita masaa hayo inakuwa zimeyayuka ?.
~Na pia kuna simu nimekuwa nikiona kuwa hazi-support 4G-LTE hapa inakuaje wakuu ?.
Kwa aliyeenda au mwenye kujua atujuze au atupe mrejesho baada ya kutumia hiyo huduma yao wakuu.
Natanguliza shukran wadau. Thanks.