magicianboy
Member
- Jun 18, 2012
- 57
- 24
Wakuu salama jamani? Naomba msaada wenu wa ushauri,nina tablet ya Hp slate 10 HD sasa nilikua natumia line ya voda na ilikua inazo settings za Apn 4 internet vzuri kabisa,sasa tatizo limekuja nikaweka line ya halotel kujaribu ku-add new Apn ikawa inagoma na Apn za voda zkafutika,pia nimejarbu kurestore default Apn bt hakuna kinachofanyika,na tatizo jingne nikitouch button ya ku-add new Apn hairespond chochote ata nikihold kwa muda mrefu.Naomba msaada nifanyaje wakuu?