Wadau nikichukua video kwa simu yangu kwa dakika kumi tu, video hiyo itaonesha imechukua zaidi ya mb300 kwenye file.
Nahitaji app itakayoweza kugeuza hiyo video na kuifanya ichukue sehemu ndogo...
Wakuu, Nina Galaxy Note 3 ambayo ina matatizo matatu;
Unknown Baseband Version
Null IMEI, nimerestore IMEI lakini haikufanikiwa kurejea
Pia hii simu haikamati mtandao kabisa.
Nimeona nikilileta...
Kampuni ya kutengeneza simu na bidhaa za kielektroniki kutoka Marekani, Apple, imefichua kuwa hakuna anayeweza kudukua siri za wateja wa simu za IPhone.
Katika stakabathi rasmi zilizowasilishwa...
have you ever thought of getting into IT field but by some reason you cant pursue due to financial restriction?
well, i believe in one thing, learning should be without boundaries.
before...
wakuu nisiwachoshe sanaa.
naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa.
hapa namaanisha ni zile kamera...
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa...
Nikiamini jf ni sehemu ya wabobezi katika technology naomba msaada kujuzwa namna ya kuhide/ kuficha profile photo kwenye watsapp kwa baadhi ya watu ambao nachat nao huku wengine wakiiona...
habarini za muda huu
samahani wakuu nina simu yangu aina ya tecno M3..inanisumbua sana yaan nikiwasha data tu matangazo kila muda hadi kero naombeni utatuzi juu ya hilo wakuu
chief mkwawa...
I recently purchased an item from EBay and the seller shipped the item using Singpost. Its have been 38 days now since it was shipped and I've not yet received it. The problem I get is does...
Wakuu naomba msaada wenu kwani mimi ninasimu aina ya samsung GT S5830.Mwanzoni ilikuwa na version 2.3.6 ila nilikuja kuizidisha version ya os (jelly bean ya 4.1.1).Na ikawa inafanya kazi kama...
Niliagiza Playstation 4 kutoka Walmart USA lakini imekuja na shida ya hdmi port coz nimetest na tv nyingi za hd na cable tofaut nimegoogle solution zimegoma, nimeona sony wamesema kwenye article...
Leo nimevutiwa kuanzisha mada yenye utofauti kidogo, mada hii imepata msukumo wa kuwa na mada nyingi zinazofanana ambazo hazikuwa na haja ya kurudiwa. Mfano kuna baadhi tunaanzisha mada mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.