Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

kibila

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
807
Reaction score
576
Wandugu naomba msaada, nimesahau administrator password ya router aina ya Linksys E 900 sasa nifanyaje ili niweze ku long in kwenye hii routet, niliweka mwenyewe ila nimeisahau mwenye kujua naomba msaada jinsi ya kufanya
 
re set hiyo router kuna kabatan kakubonyeza kwa sekunde kaa
 
kuongezea nyengine zinakuwa na kitundu hivyo utahitaji kitu kama kalamu kupabonyeza ili ureset

e900-bottom.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom