Msaada: Kubadilisha lugha katika USSD CODE

Meldida03

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Nisaidieni simu yangu ya aina ya Samsung Note 2, ni lugha ya kichina katika kuangalia salio au huduma ya Mpesa au tigo pesa au airtel money mwenye kujua ninaomba msaada jinsi ya kuondoa tatizo hilo au how to root it help help.
 
Duh...ina maana hamna solution au? Maana na mi pia nimekumbana na same thing. Meldida03 umefanikiwa?
 
Last edited by a moderator:
Nisaidieni simu yangu ya aina ya Samsung Note 2, ni lugha ya kichina katika kuangalia salio au huduma ya Mpesa au tigo pesa au airtel money mwenye kujua ninaomba msaada jinsi ya kuondoa tatizo hilo au how to root it help help.

Kwahyo kwenye functions nyingine lugha ni english?then ukitumua ussd ndo inabadilikaa?kama ndio then game over.
 
Back
Top Bottom