Mpaka leo sijaifahamu kampuni ya uhakika ya kurecover data hapa bongo

Mpaka leo sijaifahamu kampuni ya uhakika ya kurecover data hapa bongo

cericks

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
53
Reaction score
13
Wadau kwa mara nyingine tena mie mwenzenu sijaona kampuni ya uhakika ya kurecover data hapa bongo. Kama kuna mtu wowote anaifahamu tafadhari naomba anijuze
 
hakuna anaerecover data mwenyewe wengi wanatumia tu software zinazopatikana online ambazo hata wewe unaweza tumia
 
Back
Top Bottom