Wale IT expert hili mnalitatua vp

Wale IT expert hili mnalitatua vp

Change_down

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
276
Reaction score
54
wasalaaam! kwa mara ya tatu memory card ina haribika nikiwa naitumia kwenye simu, ipo hivii!
ya kwanza: nilii weka password sijui ikawaje ikawa haionyeshi kwenye chombo chochote hata nikijaribu kuingiza password ile ile na hata nikitaka kuitumia kwenye computer except kwenye simu ile ile
ya pili: nilikua natumia kwenye simu nyingine nilipo badili simu na kuiweka kwenye simu nyingine ndio ikawa kifo chake na ilikuwa na vitu kidogo muhimu na sikujua cha kuifanya
hii ya tatu ss: mpaka imenishawishi kuitafutia namna ina vitu muhimu sana ambavyo sijui pakuvipata labda nirudishe siku nyuma niviifadhi online ila ni too late, yenyewe nilikuwa na itumia kawaida tu kwenye simu kwa muda mrefu ss ila ghafla ikaniandikia " memory card suddenly unplugged" kuanzia dakika hiyo mpaka ss haifanyi kazi yeyote wala haionekani kwenye simu maadam ipo, nimejaribu kuiweka kwenye simu zingine haionekani means haisomi kabisaaa na kwenye pc pia haisomi nimejaribu ku downloads memory card recover na applications zingine zinazo fanania hivyo ili kupata jibu lolote sijafua dafu!

ss wana IT je kuna namna yeyote mbadala hata kupata tu vilivyomo ndani ya hiyo memory card, natanguliza shukrani
 
situation ya kwanza na ya pili hio ni encryption simu inafanya kulinda mafile yako, hasa kama unatumia memory card kwa kazi zaidi ya media mfano kustore data za application. na huko tunapokwenda mbele encryption zinaongezeka kwenye android 6 ndio itakuwa balaa zaidi.

hio ya tatu nafikiri ndio imeshakufa hapo sijui kama kuna njia nyengine, wengine wataongezea
 
asante mkuu kwa ufafanuzi! ila hii ya tatu inaniuma mno na ndio sababu ya kuleta hii mada hapa! pia hiyo ya kwanza simu niliyo setia password za memory card niliiuza na hiyo memo haifanyi kazi sehemu nyingine JAPO INASOMA. ya pili simu siku set password ya memo ila nilipo change simu na kuanza kuitumia ikawa ndio mwisho wake ambapo simu ya awali sina tena na HAISOMI KABISAA KWINGINE.
hizo case nita zitatuaje!
hii ya ss, simu ni mpya na memo ni mpya ila baada ya matumizi kwa mda fulani ( sijawahi jaribu kuweka password kwenye memo ila nilii set kuwa default storage) ikaniandikia SD CARD SUDDENLY UNMOUNTED na tangu muda huo mpaka ss haionyeshi kabisaaa POPOTE
 
unatumia operating system gani?
 
Mkuu. Next time.. nunua sd card original... na iwe class 10. Ni ushauri wa kuzingatia

wazo zuri, ukitaka kugundua sd card original unazigunduaje maana naona zote zina fanana
 
Mkuu mimi najua vifungashio vya sd kadi zangu pendwa. Na najua bei mahususi... pia naenda kwa maduka yenye uaminifu mno. Sinunui huko mtaani. Ila pia akili nyingi huitajika kutambua bidhaa bora na iliyogushiwa. Ila huwa nafanikiwa kupata orijino... napendelea San disk
 
hizi san disk copy zipo nyingi sana hakuna identity maalum ambayo ina bainika mapema hata ukiamua kuiingiza kwenye simu kuitest kabla ya kuilipia
 
Ningelikuonyesha kwa baadhi ya picha. Tofauti (physically ) ila tatizo mtandao wangu upo chini mno. Ila na wanaogushi siku izi wanaongeza teknolojia kuziba mianya yao ktk kugushi. Hivyo basi... umakini unahitajika mno.

Pili....

Ktk kugundua... tumia app kutoka playstore(android). Inaitwa "SD insight " itakusaidia kubaini hilo. Pia chunguza storage yake.

Mf ni 8gb
Ukiingiza ktk device ikisoma 5gb na ikiwa hamna kitu.... mkuu hiyo ogopa sana aisee. Ila hiyo app juu itakusaidia
 
nimekuelewa sana mkuu, asante sana ngoja nianze na hiyo application.
 
hii imeniletea iliyo ndani ya simu na nimeona detail zake ime sema kweli, ngoja nikatafute sd nyingine kesho asante sana
 
Attachments

  • 1445362593852.jpg
    1445362593852.jpg
    20.2 KB · Views: 133
hizi san disk copy zipo nyingi sana hakuna identity maalum ambayo ina bainika mapema hata ukiamua kuiingiza kwenye simu kuitest kabla ya kuilipia

soma hii thread
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...y-card-ya-aina-gani-je-ni-sahihi-kwako-3.html

class inaandikwa juu ya memory card, kama haijaandikwa juu achana nayo. pia ukishainunua test speed yake, connect simu na pc halafu jihamishie kitu kikubwa kama movie halafu observe ile speed yake kama ni class 10 unatakiwa upate kama 10mbps speed. ikiwa chini ya hapo ujue ni kimeo.
 
nimekuelewa vzr sana! wauza memory watanikoma jinsi nitakavyo kuwa nazi kagua
 
Mkuu mimi najua vifungashio vya sd kadi zangu pendwa. Na najua bei mahususi... pia naenda kwa maduka yenye uaminifu mno. Sinunui huko mtaani. Ila pia akili nyingi huitajika kutambua bidhaa bora na iliyogushiwa. Ila huwa nafanikiwa kupata orijino... napendelea San disk

Hiyo m/card ilitaka kunifanya kichaa, nilipiga picha nyingi kwa kutumia simu. Hadi memory ya simu ikawa imejaa, nikaamua kununua hiyo m/card , nikahamisha picha zote muhimu, nilikuwa pia nataka nikaziprint. Nilivyozihamisha tu picha zote nimegoma kufunguka pia zimegoma kurudi kwny simu!!!! Wadau kama kuna msaada naomba kupitia mada hii nami nisaidiwe.
 
Attachments

  • 1445364290909.jpg
    1445364290909.jpg
    42.3 KB · Views: 125
Hiyo m/card ilitaka kunifanya kichaa, nilipiga picha nyingi kwa kutumia simu. Hadi memory ya simu ikawa imejaa, nikaamua kununua hiyo m/card , nikahamisha picha zote muhimu, nilikuwa pia nataka nikaziprint. Nilivyozihamisha tu picha zote nimegoma kufunguka pia zimegoma kurudi kwny simu!!!! Wadau kama kuna msaada naomba kupitia mada hii nami nisaidiwe.
Pole sana mkuu. Ila nikupe pole... kwa picha tu. Hicho si kifungashio halisi cha sd card za san disk. Hivyo huenda ikawa ni bidhaa iliyogushiwa na haina ubora
 
mkuu AgentX na Chief-Mkwawa niwaulize kitu kulingana na hasara niliyo pata kwenye sd card mara tatu, kuna ubaya gani ku save vitu online
 
Pole sana mkuu. Ila nikupe pole... kwa picha tu. Hicho si kifungashio halisi cha sd card za san disk. Hivyo huenda ikawa ni bidhaa iliyogushiwa na haina ubora

umeona ss mambo ya san disk! nishauri kuhusu clouds stores zipo vp
 
Back
Top Bottom