Msaada: Kutoa tatizo la Kujiwasha kwa data na Wi-Fi

Msaada: Kutoa tatizo la Kujiwasha kwa data na Wi-Fi

Lutena

Member
Joined
May 26, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Habari wakuu, nina Tecno P5 inajiwasha data pamoja na wifi naomba msaada wa kuliondoa hili tatizo. Na limeanza hivi punde kama lisa moja
 
Unatumia line gani? Kama airtel wakati mwingine inatokea
 
Back
Top Bottom