Laini na vocha za halotel

Wenzako promo hawapigi hivyo Kabelwa.

Waache tu wenye kampuni wapige promo kivyao wee kama umeajiriwa piga kazi kwenye kitengo chako hukohuko ulipo, sasa kama hivi unakuwa unajiharibia hapa jamvini mwishowe hata siku utakuwa na shida ya kweli watu watashindwa kukusaidia watajua unawazingua tu.

Promo hazipigwi hivyo waache wenye kampuni wapige promo zao kivyao ndugu usiharibu status yako jamvini hapa, hapa sio MMU jombaa.
 
Last edited by a moderator:
Wadau hivi hizi laini na vocha za hawa jamaa halotel zimeshaanza kutoka!

Back
Top Bottom