Technology inaelekea wapi?

Technology inaelekea wapi?

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Technology is an advancement of artificial life navyoelewa, Je inaelekea wapi? Bora past kuliko kuwa robots au cybogs!
 
Teknolojia ni nzuri sana.
Kama huwezi kukimbizana nayo kaa pembeni.
Teknolojia inapunguza gharama, inaokoa muda nk.
 
The way of solving problems =technology
Kwa namna hiyo kadili watu wanavyofikili njia bora ya kufanya mambo ndio hivyo technology inavyoonekana ipo juu kulingana na wakati siku zote 1=1 depending period sasa katika period hiyo wewe ukiwa nyuma umepitwa na wakati kama Leo utumia smartphone du! Ni sawa na wakati wa wazee wetu utumii gari la farasi
 
Don't worry will be in safe hands.
3 LAWS OF ROBOTICS.
A robot may not injure a human being or, through inaction, allow a human being to come to harm. A robot must obey orders given it by human beings except where such orders would conflict with the First Law. A robot must protect its own existence as long as such protection does not conflict with the First or Second Law.
 
Don't worry will be in safe hands.
3 LAWS OF ROBOTICS.
A robot may not injure a human being or, through inaction, allow a human being to come to harm. A robot must obey orders given it by human beings except where such orders would conflict with the First Law. A robot must protect its own existence as long as such protection does not conflict with the First or Second Law.

hii si movie ya i-robot
 
Hizo ndizo kanuni za kutengeneza na kuprogram robots. Swala-je tutazingatia kanuni hizi au tutazipindisha kwa faida binafsi ya mtu au kundi fulani?
Tatizo Ni artificial intelligence si za kuaminika. Kuna watu wanadevelop skynet sasa hivi miaka ijayo huko IPO hatari kama ya terminator
 
Haya mambo yalikuwepo kwenye jeshi tangu miaka ya sitini. Napenda technology iendelee ila kuna watundu wengi wa ku hack kama ilivyotokea kwa watu kuvuruga system ya gari na kuwasha kuzima, kufunga brake nk.

Lakini kwa upande wa robotic nilishangaa baada ya kuona mtu akiwa London hospital akifanyiwa upasuaji na Dr aliyeko America kwa kutumia technology ya kisasa kwa robot, that was cool
 
Back
Top Bottom