Location ya samsung electronics Tanzania

Location ya samsung electronics Tanzania

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Naomba kujuzwa lililopo duka la authorized sumsung dealer in Tanzania.
 
Naomba kujuzwa lililopo duka la authorized sumsung dealer in Tanzania.

Samora Avenue opposite NBC Bank kwa simu,tabs and other gadgets. Kwa tv, friji n.k lipo Uhuru street na Mlimani City.
 
Samora Avenue opposite NBC Bank kwa simu,tabs and other gadgets. Kwa tv, friji n.k lipo Uhuru street na Mlimani City.

Mbona mnataja Dar tu wakati yeye kasema Tanzania? Na najuaje kama yuko Dar na sio Mtwara?
 
Mbona mnataja Dar tu wakati yeye kasema Tanzania?

Mkuu watu wanajibu kulingana na taarifa walizonazo, maadamu Dar ni sehemu ya Tanzania hawajakosea...
 
Samora Avenue opposite NBC Bank kwa simu,tabs and other gadgets. Kwa tv, friji n.k lipo Uhuru street na Mlimani City.

Kama yupo Dar es Salaam ni vyema huyu bwana angeenda Mlimani City, bila shaka hapo atapata usaidizi mkubwa...

Hao dealers wengine kama wale wa Uhuru si wakubwa sana...
 
Kuna dealer pale opposite na NBC samora, sio JM Mall, wanauza products za Samsung tu, simu za Samsung nilikuwa nanunua pale. Pia M City si mbaya ila nilishawahi zungumza nao wa M City, wakasema discounts za M city ni tofauti na za kwingineko kwakuwa assumption ni kuwa wanaoenda m city purchasing power yao ni kubwa kuliko wa kkoo na kwingineko.
 
Back
Top Bottom