Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau kuna mtu anataka kuniuzia kamera aina ya kodak lkn nimeshtuka baada ya kupita maduka ya kamera Kariakoo na kuikosa duka lolote.....
Je ina maana hii aina haipo tena katika mzunguko??na kama haipo ikitokea nahitaji spear ntapata wapi???
Je ina maana hii aina haipo tena katika mzunguko??na kama haipo ikitokea nahitaji spear ntapata wapi???