Account yangu ya Skype -one month trial imeisha nifanyaje?

Account yangu ya Skype -one month trial imeisha nifanyaje?

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,897
Reaction score
33,709
Wadau, kila nikijaribu kumpigia mtu wananiambi ninunue credit kwa euro 10 ambayo ni sawa na elfu 32,000 hivi kwa mwezi.

Mwenye kujua hili naomba ufafanuzi mbona naona hi hela ni kubwa sana? Au sikusoma maelezo vizuri.

CC.CHIEF MKWAWA
 
Siku hizi watu wachache wananunua credit za simu katika mtandao.

Mwambie unayoompigia ajiunge na Skype na akuruhusu uwe katika list yake katika Skype. Mtaongea bure.

Pia kuna LINE app ya Japan. Ni kama Skype
huhitaji ku "log in". Unaweza kuwasiliana kwa text, audio au video na mtu akikubali kuwa katika list yake.
 
Skype inategemea unapiga wapi, kama Ni marekani na nchi kubwa kama uingereza utalipia visenti tu vya hela ILA kama unapiga hizi nchi zetu tunazoishi utakatwa hela nyingi sana.

Kwanini usiende website Yao ukajionea mwenyewe charges zao?
 
Back
Top Bottom