kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,623
Saa nyingine kuna kaukweli fulani juu ya IT wa kibongo tuwe wakweli elimu tunayopewa na aina ya wakufunzi tulionao ni tatizo sana kwetu...hapa kwetu sisi IT tunasoma kama kusoma kama tunavyoweza kusoma geograph tu tumekosa kitu kinachoitwa CREATION and INOVATION katika elimu zetu, wanaotufundisha nao walifundishwa kama tunavyofundishwa sisi, hawana jipya la kutupa, tumejikuta tunakariri kama history hivi, kuna professor mmoja nimemsahau jina alipotaka kuwafundisha wanafunzi wake ili waielewe zaidi linux aliichakachua akaitengeneza ikaitwa minix ili wanafunzi wake waelewe zaidi je huku kwetu bongo hawa maprofesor na wakufunzi wetu umeshawahi kuona wanaumia wanapotuona hatuelewi ndo kwanza huwa wanafurahi tunapofeli ili wabaki wenyewe tu na saa nyingine wanatufelisha maksudi kabisa
Mzingira pia hayatufanyi sisi tuwe wabunifu kwasababu bado IT haina misingi kwenye michakato yetu ya uendeshaji wa taasisi zetu, hata ukibuni kitu gani zadi uuze nje kama utaweza ndo itakulipa ila hapa bongo anayeinstall untvirus anapiga hela kuliko software developer ndo ukweli wenyewe pia mambo mengi ya inovation and creation yanataka hela ambazo wabongo hatuna vitu ni ghari sana hivyo mtu anashidwa kuendesha project mbalimbali kwasababu hana hela wabongo pia wamejaa umimi yaani uselfish, wenzetu huwa wanaungana na kufanya kazi pamoja ili kuunganisha maarifa.
Hapa kwetu hichi kitu ni kigumu mno facebook ukifuatilia historia yake utagundua michael aliungana na mshkaji wake wakaunganisha mawazo mwisho wakapata kitu kikubwa steve jobs na apple yake hakuwa peke yake google siyo mtu mmoja ni watu wawili waliokuwa na dhamila mwisho wa siku wanakula matunda ya jasho lao hapa tz ni shida kutokea vitu kama hivi. HUMU HUMU ndani watu walishakuja na idea za kuwa na project kadhaa aisee hakuna lililofanikiwa kuna mijitu ilikuja kukatisha tamaa watu ili zoezi lisifanikiwe... WABONGO NI WACHOYO WA KUGAWA MAARIFA WALIYONAYO KWA WENGINE KWASABABU YA WIVU.
Kingine ni kwamba wanaosoma hizi coz sio wale wanaoipenda toka moyoni ila walisikia ni dili na kwa kuwa ni science mkopo upo nao wakajichomeka hapa ndo tumepata vilaza wengi WA HII industry balaa, mtu mpaka anamaliza hajui chochote na ndio hawa ambao utawaona wanazunguka na mavyeti kila ofisi wakitafuta kazi unajiuliza hivi hata IT naye anasubiri kuajiriwa?! mwisho wa siku unacheka tu.
Pia IT wa TANZANIA hatuaminiki hata ndani ya tanzania kuna watu huwa wanajitahidi japo kwa shida hivyo hivyo kubuni software na mifumo mbalimbali ila soko huwa ni gumu kwasababu tu wewe ni mtanzania na tumeshaweka kasumba kuwa watanania hatuna ubavu na uwezo wa kufanya haya mambo hapa ni kazi kwetu ma IT kuwaprove long kuwa sisi pia ni vichwa kwa kufanya kazi kwa bidii.
Wanatatizo ni wavivu wa kujiupdate tukishamaliza vyuo basi huwa tunahisi tunajua kila kitu huwa hatutafuti maalifa mapya, ndo maana utawaona MA IT wa kibongo kwenye social network zisizzo na maana na hutawakuta kwenye online community mbalimbali ambako wanaweza kukutana na wengine wa huko duniani wakashare uzoefu.
TUNAHITAJI WAKUFUNZI BORA AMBAO KWELI WANA NIA YA KUTUELIMISHA NA KUTUFANYA TUWE WANAFUNZI BORA NA SIYO BORA WANAFUNZI, TUNAHITAJI MIUNDOMBINU BORA YA KUFUNDISHIWA, KUNA VYUO TOKA WALIPONUNUA KOMPYUTER MIAKA YA 90 UTAKUTA MPAKA LEO WANAWAFUNDISHIA WANAFUNZI WAO TUNAHITAJI KUWA NA BODY MAALUMU INAYOSIMAMIA HII ELIMU YA IT SIYO KILA MPUUZI AKIJISIKIA KUANZISHA CHUO CHA IT ANAJIANZISHIA TU SELIKALI IWEKEZE SANA KWENYE HII ELIMU MAANA NDO DUNIA ILIPO, KAMA TU SELIKALI IKIAMUA KUWEKEZA ITASUKUMA NA SEKTA BINAFSI KUWEKEZA ZAIDI HIVYO KUTENGENEZA MAZINGIRA MAZURI YA IT KUNUFAIKA
Chanzo: JF Member anaitwa _Mnyikungu