Msaada; tablet yangu app ya watsup imepotea

Msaada; tablet yangu app ya watsup imepotea

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Natumia tab s min yenye vision ya android ila app ya watsup imepotea na sms sizipati ina ni instrust ni download tena ila kila nikijaribu holla
Nisaidieni waungwana


Naambatanisha na kidhibiditi
 

Attachments

  • 1447239100698.jpg
    1447239100698.jpg
    57 KB · Views: 109
Ukijaribu hola ndio nini?

Hebu tuambie umedownload vpi? Umeenda play store? Umejarbu kudownload kwenye webste ya WhatsApp?
 
Pia inaniletea message hii
 

Attachments

  • 1447239386350.jpg
    1447239386350.jpg
    39.5 KB · Views: 73
Ukijaribu hola ndio nini?

Hebu tuambie umedownload vpi? Umeenda play store? Umejarbu kudownload kwenye webste ya WhatsApp?

Nimejaribu kwa playstore inaniletea icon tofauti
Nikajaribu kwa website inaniambia installed lkn sion ikifanya kazi na sijui iko wapi
Nakumbuka hata wakati nanunua app zote zilikubali isipokuwa ya watsup na ile ya kuficha picha za uchi zilikataa ndo kuna mjanja mmoja wa kariakoo ndo aliniwekea kiulain yan sasa mi nko mkoani braza
 
Waungwana mbona hamlipi kipa umbele tatizo langu kuhusu hii tab yangu jaman
Msaada jaman tafadhali
 
Back
Top Bottom