Power bank hizi zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kuendeshea mashine za kusafishia picha SELPHY cp760 baada ya umeme kukatika.
Vifaa hivi vinauzwa pale kariakoo gerezani kwa mnada vipo vingi...
Wakuu habari zenu ,naomba ufafanuzi wa tofauti kati ya umeme wa dc na ac ,kwamaana kuna watu hapa wanabishana kweli wengine wanasema dc ndiyo unaotumika kucharge cm wengine wanabisha ,pia je umeme...
Nimekuwa nikivutiwa na jinsi picha zinavyoeditiwa kwenye Photoshop, naombeni steps za kufanya picha itokee ikiwa na good quality ambazo wewe, unazitumia au unazijua, nimejaribu kujifunza kwa...
Nna iphone 4s .natumia kwa internet na iko poa na pia icloud natumia yangu...tatzo ni kwamba nikitaka kuingza vocha au kuangalia salio au nikipiga code yyte mfano *148*00# inanijibu namba...
Fundi wa kufunga dish anaitajika eneo la kazi tabata segerea siku kesho jpili,kifupi dish limeshafungwa ila fundi hakufunga vizuri sipati picha zote za dstv inabidi afanye marekebisho nimejaribu...
Kuna sim aina ya Samsung galaxy note 3
Ni original na ilikuja mpya tatizo haina application ya play store?
Nipeni maelekezo jinsi ya kuiweka hiyo application ktk note 3
Natanguliza shukrani
Wakuu nmenunua pc mpya dukan lakn cha ajabu nikiweka device km flash,cardreader,modem na USB hazisom kwenye pc tatzo ni nini hapo,?
KUMBUKA: PC yangu Haina Wi-Fi kwa hyo nategemea modem ili...
Habari zenu wakuu.
Hope mko salama kabisa, kuna mjanja mmoja kamuingiza mjini Bi Mkubwa wadau na ilikuwa kama ifuatavyo.
Bi Mkubwa alinunua Original Galaxy S5 akiwa MAKKAH na kurudi nayo...
Ndugu huyu ni ngulli wa kutengeneza Mobile Applications anasoma IFM kwa bahati mbaya nimepoteza namba zake yeyote anayemfahamu anitumie namba yake PM tafadhali.
wadau naomba msaada wenu kuhusu namna ya kuwezesha simu ya tecno c8 kuwa na uweza wa kushika 3g yenye frequency ya 850mhz.hii itansaidia hata nkiwa nje kidogo ya mjini kuwa na uwezo wa kuaccess...
Wakuu mimi hii simu Nokia XL 4G hata siielewi kabisa?
Maana file zote niki-download zinakaa kwenye phone memory na nimejaribu sana kuzihamishia kwenye SD CARD lakini zimekataa na hata ninapo-move...
baada ya kuroot simu ilibidi niconvert setting km user app kw titanium backup coz simu ilikuw inadisplay "unfortunately setting has stopped" baada ya hapo nikaiflash simu,,ilivyowaka setting...
Wakuu naombeni mwongozo, touchpad ya PC yangu [samsung] sometimes haisensi kabisa na pia wakati mwingine ina-misbehave, mfano inaweza kushindwa ku-move kabisa pointer au pointer ina move...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.