Msaada kuhusu kodi app

Msaada kuhusu kodi app

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
680
Reaction score
200
Wakuu ninaomba kuuliza jinsi ya kuingiza hizi url hasa hii http//www.xunitytalk.com/xfinity maana kila nikingiza ikifikia sehemu ya install from zip file haiendelei.
 
ukishindwa hiyo weka sportdevil ndio rahisi kuliko zote. Hata mimi hiyo nimeishindwa au hata phoneky ni rahisi
 
Back
Top Bottom