Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Wakuu habarini, baada ya ku install win10 nimekuwa nikijiuliza ni ant virus gani ambayo ni nzuri kwa win10, kwani nimeskia clouds wakipiga promo juu ya bit deffender kua ni mzuri lakini nimejaribu kuitafuta torrent haina seeds kabisa ata kudownlod tatizo na haina activator...
Kwahiyo nimekuja jukwaani kuwaulizeni wakuu ni ipi bora ama mwenye kuweza kunipatia link na keys za bit deffender nidownload.
Asante.
Kwahiyo nimekuja jukwaani kuwaulizeni wakuu ni ipi bora ama mwenye kuweza kunipatia link na keys za bit deffender nidownload.
Asante.