Msaada: Win installation problem

mkubwa 21

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
442
117
Naweka win 7 / tatizo ikishamaliza kila kitu naletewa 'windows set up could not configure windows to run on this computer, nini tatizo~?
 
Computer yako haijawa designed for windows 7 so try windows 8,8.1 or 10.hlo ndo tatzo la computer nyingi ss mpya coz manufacture wapo kibiashara zaidi.
 
Computer yako haijawa designed for windows 7 so try windows 8,8.1 or 10.hlo ndo tatzo la computer nyingi ss mpya coz manufacture wapo kibiashara zaidi.

Halafu watu wengi hawataki kutoka katika win7 hapo sasa. Mie mmoja wapo na vi pop up kibao kila siku sibadilishi kwenda hiyo 10 hata kwa ncha.
 
Back
Top Bottom