Wadau naomba jinsi ya kujisajiri kwenye hii app(m paper)maana kila ninavyojaza kwenye usajiri inagoma kufunguka hata namba yangu ya simu inaambiwa sio sahihi nilitumia gmail yangu.