Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Helo jf members,natafuta external hard disc gb 500,nahitaji mpya na bei yake,mwenye nayo plzpm me
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Hi wadau, Kuna kazi iliyoko kwenye word nilichukua kwenye pc ya mtu ila kila nikitaka kuedit au kufuta mstari inagoma na kupigia mstari kazi ninayotaka delete. lakini pia niki'paste' inatokea kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari gani wadau???? msaada please, simu yangu tajwa ina tatizo, kila nikichomeka charger ambayo ni original inaonesha alama kuwa charge inaingia, lakini unaweza kuicha about the whole day...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje JF clubbers! As kichwa cha habari As said,in kwa Mara ya kwanza natumia App ya JF,There 4,how starting logon JF APP.? Wanaitumiaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu wa masuala haya... Simu nayo tumia samsung E7 Haikubali kusoma USB OTG ,, je ishu ni settings au simu yenyewe ndo ina haya malue lue
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Ndugu wana JF, Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza...
0 Reactions
17 Replies
71K Views
wakuu,nina line ya halotel na modem ya airtel,naweza kutumia hiyo line ya halotel kwenye hiyo modem na setting zake ni zipi naomba kuwasulisha kwa msaada
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Which one is the best way to find admin panel of any website ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje wanaJF? Natafuta web developers ambao nitafanya nao kazi ya kudevelop hii system ambayo inaonekana hapo chini. Mambo ya benefit tutaangalia wenyewe kama developer teams. Nipm kama una interest
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha jieleza ni kwanini simu janja hazikai na charge kwa muda mrefu, Je! Kuna simu janja zinazokaa na chaji angalau siku mbili? Na je suluhisho nini.?
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Power bank hizi zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kuendeshea mashine za kusafishia picha SELPHY cp760 baada ya umeme kukatika. Vifaa hivi vinauzwa pale kariakoo gerezani kwa mnada vipo vingi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hello Guys when i try acces any on mega it shows me this message Please i need your help you can also try the link is here down...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu ,naomba ufafanuzi wa tofauti kati ya umeme wa dc na ac ,kwamaana kuna watu hapa wanabishana kweli wengine wanasema dc ndiyo unaotumika kucharge cm wengine wanabisha ,pia je umeme...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Nimekuwa nikivutiwa na jinsi picha zinavyoeditiwa kwenye Photoshop, naombeni steps za kufanya picha itokee ikiwa na good quality ambazo wewe, unazitumia au unazijua, nimejaribu kujifunza kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kwa anayefahamu mahali zilipo ofisi/wakala wa EasyTv hapa Dar
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nna iphone 4s .natumia kwa internet na iko poa na pia icloud natumia yangu...tatzo ni kwamba nikitaka kuingza vocha au kuangalia salio au nikipiga code yyte mfano *148*00# inanijibu namba...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
hi memba? memba wezangu nkitaka kudauloading apps kwa upande was play store INA loading muda mrefu ttzo nini? natumi mtandao was vyoodakom.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
MSAADA: Nahitaji kubadirisha kioo cha Samsung galaxy s2 sababu kina ufa? inawezekana au kipya kitakua kinaletashida baada ya muda???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fundi wa kufunga dish anaitajika eneo la kazi tabata segerea siku kesho jpili,kifupi dish limeshafungwa ila fundi hakufunga vizuri sipati picha zote za dstv inabidi afanye marekebisho nimejaribu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…