halotel internet setting

halotel internet setting

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
wakuu,nina line ya halotel na modem ya airtel,naweza kutumia hiyo line ya halotel kwenye hiyo modem na setting zake ni zipi
naomba kuwasulisha kwa msaada
 
Hiyo modem ni universal? Kama sio hauwezi kutumia line tofauti na airtel na kama ni ndiyo weka line yako then ikisoma connect then anaza kutumia.
 
nadhani sio universal,ngoja nijaribu na mdau hapo juu
 
Ngoja nikwambie Ukitumia modiem ya Halotel katika PC intakugomea mpaka uanstall modiem zingine kasoro ya Tigo halafu kwa sisi 2liozoea Edge Halotel ni mwisho wa matatizo kwa speed na bits
 
Sijakupata, hebu fafanua zaidi
 
kwani halotel wameanza kutoa na modem pia,manake Mimi bado kupata modem ndo kwanza nimepata line,nikaambia inakuwa na offer ya airtime na data kwa muda wa siku 30 ndo nilitaka kujaribu lakina inaniletea mapichapicha sana,kwenye simu pia inanizingua,kuna setting wadau wameweka huku nimejaribu nijafanikiwa,kwanza kwenye simu yangu ya techno y4 sipati pa kuedit setting kila mahali nikijaribu option in ya kuselect tu,mwenye namna nyingine kuhusu hili
 
tayari wana modem zao nenda kwenye shop zao utazipata
 
kwani halotel wameanza kutoa na modem pia,manake Mimi bado kupata modem ndo kwanza nimepata line,nikaambia inakuwa na offer ya airtime na data kwa muda wa siku 30 ndo nilitaka kujaribu lakina inaniletea mapichapicha sana,kwenye simu pia inanizingua,kuna setting wadau wameweka huku nimejaribu nijafanikiwa,kwanza kwenye simu yangu ya techno y4 sipati pa kuedit setting kila mahali nikijaribu option in ya kuselect tu,mwenye namna nyingine kuhusu hili

Halotel kuna uzi niliona watu wanachangia wapo vizuri kwenye internet kutokana na 3G kuwa mpaka vijijini nikanunua na kuweka kwenye simu yangu ili nitumie wireless kwenye PC yangu, kilichonipata yaani network mchelemchele na sikuonja kabisa service yao ya internet
 
mwenyewe nimejaribu hill,lakini Mimi nadhani there are some technical problems along the way ambazo zinanizingua,ikiwa in kupata uhakika kama hii line IPO activated na internet access manake nimenunua mtaani tu,kama kwenye simu imenishinda najua kwenye PC kufanikiwa sio rahisi,
 
Halotel inagoma kabisa kwenye internet (mobile ) cdhani kama inawezekana kwa pc
 
me nipo kasulu kigoma aiseee net ya halotel ni balaa speed inachezea 1.2mb/s. ni noma aisee hakuna mtandao unaogusa huo kwa hapa ksl. ukidownload file lolote hata movies fasta fasta
 
KAMA MODEM SIO UNIVERSAL HUWEZ KUTUMIA, NTAKUELEKEZA JINS YA KUSET INTERNET KWENYE SIMU, NENDA KWENYE MENU SETTING TAFTA MOBILE NETWORK THEN TAFTA ACCESS POINT NAME. UKIFUNGUA HIYO TAP BUTON YA MENU YA SIMU YAKO UTAONA NEW APN SELECT.. THEN VITU VING VYA KUJAZA . WE JAZA VITU VITATU.. 1. NAME.. WEKA HALOTEL.. 2. APN WEKA halotelinternet 3. APN type WEKA drfault,supl KISHA SAVE NA UWASHE DATA.. KAMA UTASHINDA SEMA NKUPE NAMBA YA SIMU NKUELEKEZE
 
mwenyewe nimejaribu hill,lakini Mimi nadhani there are some technical problems along the way ambazo zinanizingua,ikiwa in kupata uhakika kama hii line IPO activated na internet access manake nimenunua mtaani tu,kama kwenye simu imenishinda najua kwenye PC kufanikiwa sio rahisi,
hata mimi nlinunua mtaani na mwisho nmeitupa,haikubali kuingia vocha wala kupiga simu yoyote hata 100,imenishinda
 
nawashukuru wakuu kwa mchango wenu,angalau kwenye simu kuna mafanikio
 
kwani halotel wameanza kutoa na modem pia,manake Mimi bado kupata modem ndo kwanza nimepata line,nikaambia inakuwa na offer ya airtime na data kwa muda wa siku 30 ndo nilitaka kujaribu lakina inaniletea mapichapicha sana,kwenye simu pia inanizingua,kuna setting wadau wameweka huku nimejaribu nijafanikiwa,kwanza kwenye simu yangu ya techno y4 sipati pa kuedit setting kila mahali nikijaribu option in ya kuselect tu,mwenye namna nyingine kuhusu hili
Kwa maekezo yako tu mkuu inaonesha hata wewe mwenyewe simu hujaijua vizuri, sasa usikimbilie kuponda mtandao wakati wewe mwenyewe hujajua nini chakufanya, omba msaada uelekezwe jinsi ya kufanya setting ya internet. Maana line ukiiweke kwenye simu haifanyi setting automatic, unatakiwa kufanya setting manual.
 
Halotel inagoma kabisa kwenye internet (mobile ) cdhani kama inawezekana kwa pc

Sema tatizo lako ni nini usaidiwe ndugu, achakulalamika, wakati kuna wenzio wanatumia na ushahidi wanaleta humu jukwaani, sema shida nn ?
 
Back
Top Bottom