Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu wadau naomba mnisaidie kujua ni program gani niitumie ili kuconvert flv,mp4 files kwenda avi na hizo kwenda vob.bup files
0 Reactions
16 Replies
2K Views
KUHUSU TROIDVPN TroidVPN inahitaji Android minimum v4.0.4 Inafanya kazi bila ya Rooting Kila siku utapata 1GB for free Kupata Unlimited tumia Premium account ya TunnelGuru UNACHOTAKIWA KUFANYA...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Khabari,Naomba mtu mwenye ujuzi na kupata activation code za ku activate window 10 anisaidie maana nimedownload nime install ila inadai ku activate window.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za jioni ya leo, Jamani wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii bidhaa ya king'amuzi kupitia internet (IPTv) cha Mag250. Je, kwa wale ambao mmewahi kukitumia king'amuzi hiki kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wadau.. Naomba kuuliza kama kuna ambaye anaweza au amewahi kuweza kupata Transponder ya Astra 2E (28.2 degrees east) kwenye dish lolote. Kama amewahi anaweza kunijulisha ni dish...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Wadau kuna virus wengi wameachiwa hivi karibuni , virus hawa uingia kupitia whatsapp, instgram, facebook, tabia zao uingia kwenye simu na kujificha kwenye application manage, utengeneza exe file...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Helo jf members,natafuta external hard disc gb 500,nahitaji mpya na bei yake,mwenye nayo plzpm me
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Hi wadau, Kuna kazi iliyoko kwenye word nilichukua kwenye pc ya mtu ila kila nikitaka kuedit au kufuta mstari inagoma na kupigia mstari kazi ninayotaka delete. lakini pia niki'paste' inatokea kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari gani wadau???? msaada please, simu yangu tajwa ina tatizo, kila nikichomeka charger ambayo ni original inaonesha alama kuwa charge inaingia, lakini unaweza kuicha about the whole day...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje JF clubbers! As kichwa cha habari As said,in kwa Mara ya kwanza natumia App ya JF,There 4,how starting logon JF APP.? Wanaitumiaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu wa masuala haya... Simu nayo tumia samsung E7 Haikubali kusoma USB OTG ,, je ishu ni settings au simu yenyewe ndo ina haya malue lue
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Ndugu wana JF, Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza...
0 Reactions
17 Replies
71K Views
wakuu,nina line ya halotel na modem ya airtel,naweza kutumia hiyo line ya halotel kwenye hiyo modem na setting zake ni zipi naomba kuwasulisha kwa msaada
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Which one is the best way to find admin panel of any website ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje wanaJF? Natafuta web developers ambao nitafanya nao kazi ya kudevelop hii system ambayo inaonekana hapo chini. Mambo ya benefit tutaangalia wenyewe kama developer teams. Nipm kama una interest
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha jieleza ni kwanini simu janja hazikai na charge kwa muda mrefu, Je! Kuna simu janja zinazokaa na chaji angalau siku mbili? Na je suluhisho nini.?
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Power bank hizi zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kuendeshea mashine za kusafishia picha SELPHY cp760 baada ya umeme kukatika. Vifaa hivi vinauzwa pale kariakoo gerezani kwa mnada vipo vingi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hello Guys when i try acces any on mega it shows me this message Please i need your help you can also try the link is here down...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu ,naomba ufafanuzi wa tofauti kati ya umeme wa dc na ac ,kwamaana kuna watu hapa wanabishana kweli wengine wanasema dc ndiyo unaotumika kucharge cm wengine wanabisha ,pia je umeme...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Back
Top Bottom