Nimekuwa nikivutiwa na jinsi picha zinavyoeditiwa kwenye Photoshop, naombeni steps za kufanya picha itokee ikiwa na good quality ambazo wewe, unazitumia au unazijua, nimejaribu kujifunza kwa kutumia tutorial at least nimepata mwanga, naombeni na utaalam wenu, asanteni