ufundi wa kubadirisha kioo cha galaxy S2.

ufundi wa kubadirisha kioo cha galaxy S2.

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
9
MSAADA: Nahitaji kubadirisha kioo cha Samsung galaxy s2 sababu kina ufa? inawezekana au kipya kitakua kinaletashida baada ya muda???
 
Tafuta 180,000/= ubadilishe complete display unit, kioo peke yake italeta shida
 
MSAADA: Nahitaji kubadirisha kioo cha Samsung galaxy s2 sababu kina ufa? inawezekana au kipya kitakua kinaletashida baada ya muda???

mkuu gharama ya kubadilisha kioo unanunua s2 nyingine kwa mtu na ipo in a good condition.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom