Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Account yangu ya Facebook imekuwa disable siwezi kuingia . Mwenye ujuzi naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu ninaomba kuuliza jinsi ya kuingiza hizi url hasa hii http//www.xunitytalk.com/xfinity maana kila nikingiza ikifikia sehemu ya install from zip file haiendelei.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habarini, baada ya ku install win10 nimekuwa nikijiuliza ni ant virus gani ambayo ni nzuri kwa win10, kwani nimeskia clouds wakipiga promo juu ya bit deffender kua ni mzuri lakini nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF naomba aliyefanikiwa kuroot Tecno C5 anipe maujanja maana nilishafanikiwa kuroot P3, M5 na H6 ila hii nimegoogle wapi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu wakuu katika kufanikisha hili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habariwwanajukwaa? naomba msaada katika simu yangu ya huawei ascend y330, jana nili root simu kwa kutumia kingo root lakini baada ya ku root nashindwa kuingia play store kwa kuleta ujumbe wa "no...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
How can one Delete Software Registry Keys From System Registry On Windows without using a Software???? A fully tested and valid Reference would be useful.....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa lililopo duka la authorized sumsung dealer in Tanzania.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau naomba jinsi ya kujisajiri kwenye hii app(m paper)maana kila ninavyojaza kwenye usajiri inagoma kufunguka hata namba yangu ya simu inaambiwa sio sahihi nilitumia gmail yangu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sina Uhakika kama kuna Android Phone yenye NFC Capability but Simu gani zinazopatikana kiurahisi Bongo zina NFC card reader (or writer) na estimate cost yake?
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Technology is an advancement of artificial life navyoelewa, Je inaelekea wapi? Bora past kuliko kuwa robots au cybogs!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuuu? Jana nilipatwa na tatizo katika simu yangu tajwa, ilizima ghafla ikiwa na chaji 44% haikuwaka tena. Nikaiwahisha kwa fundi mmoja hivi akaniambia betri ndio imeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Niaje developers, any suggestions about this idea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau ninaomba msaada ni jinsi gani ya kuondoa partition katika hard disc yangu iliyogawanyika kama ifuatavyo. Local disc C ina 223GB,Local disc D ina 9.99GB,Local disc F ina 205GB ,Local disc G...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habary wakuu Samsung galaxy pocket gt 51003 imegoma kuwaka since a week ......naombeni ushauli nianze kuifanyaje ili irudi katk hali yake,,Mara ya kwanza ilikuwa inaanfika "play store stopped" ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna anayejua jinsi ya kuPM ukiwa unatumia app ya JF kwenye iPhone? Msaada tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Imenishinda ku start print msaada kwa anajua...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Advanced Security. Following security threats, increased protection will guarantee stricter privacy of sensitive data especially when device is lost or stolen. Protection against malware and a...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Wakuu Msaada jinsi ya kurecover passcode zangu kuna mtu kabadilisha nilizokuwa nimeweka sijajua dhumuni lake kufanya hivyo hii inakuja baada ya kuwasha simu nitashukuru sana nikipewa ufumbuzi...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Leo nilidownload win 10 sasa on process of installation laptop ikazima, umeme ulivyorudi najaribu kuiinstall upya inanidai product key yani nimechanganyikiwa msaaada plz!!!!!
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom