Natafuta developers wakufanya nao kazi(System Development)

Natafuta developers wakufanya nao kazi(System Development)

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
919
Reaction score
938
Niaje wanaJF? Natafuta web developers ambao nitafanya nao kazi ya kudevelop hii system ambayo inaonekana hapo chini. Mambo ya benefit tutaangalia wenyewe kama developer teams. Nipm kama una interest

attachment.php
 
Attachments

  • avoidpoverty.fw.png
    avoidpoverty.fw.png
    46.7 KB · Views: 556
Lugha zipi unatumia?
Niaje wanaJF? Natafuta web developers ambao nitafanya nao kazi ya kudevelop hii system ambayo inaonekana hapo chini. Mambo ya benefit tutaangalia wenyewe kama developer teams. Nipm kama una interest

attachment.php
 
mi mtu akiishasema php baaas.... yani siipendi php...

Idea yako naona sio mbaya ila ushauri tu, mtu utakayempata kujoin naye, hiyo homepage muianze straight from scratch, iko very shallow.. Hiyo font nayo sio ya kutumia kabisa kwenye website ya business. Hiyo acha mtu atumie kama decoration kwenye simu
 
Ni PM jamaa kama unataka more details
 
Back
Top Bottom