asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
Nna iphone 4s .natumia kwa internet na iko poa na pia icloud natumia yangu...tatzo ni kwamba nikitaka kuingza vocha au kuangalia salio au nikipiga code yyte mfano *148*00# inanijibu namba unayopiga haipo.... Ila napiga na kupokea namba za kawaid vzr tu... Tatzo ni kuweka vocha na kuangalia kwa ilo.... Msaada kwa ilo tafadhari