Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 186
Ndugu wana JF,
Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia kupata huduma hii:
1) Njia ya kwanza ni kutuma model ya simu ambayo ipo kwenye database ya tigo, mfano Nokia N70 badala ya model halisi ya simu yako. Hii ni kutokana na uchache wa entries ambazo tiGo wanazo kwenye database yao.
Kama unatumia simu toyauti na Nokia, jaribu kutumia model nyingine ya simu yako, inawezekana ikawa kwenye database.
2) Njia ya pili ni kufanya manual configuration kutumia settings zifuatazo:
APN (Access Point Name) : tigoWap
Proxy Server: 10.168.20.80
Port: 8080
Username:
Password:
username na password acha blank (haziitajiki)
Kama utafanikiwa kuingiza configurations za hapo juu, utapata internet bila matatizo.
Karibuni